Serikali yafunguka kutochunguza shambulio la Lissu

Mbunge Tundu Lissu alipokuwa akipata matibabu Hospitali ya Nairobi

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Dk. Abdallah Possi ameeleza sababu za kushindwa kuendelea kwa chunguzi wa shambulio la Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antiphas Lissu kuwa ni kutokana na kutopata ushirikiano kutoka kwa mbunge huyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS