Wambura aamua kufanya walichofanya Ubelgiji FIFA Michael Wambura Aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura kabla ya kufungiwa maisha na TFF na kifungo hicho kuthibitishwa na FIFA, amesema hakuna chombo chenye mamlaka ya kukaidi maamuzi ya mahakama. Read more about Wambura aamua kufanya walichofanya Ubelgiji FIFA