Askari wa JWTZ afariki akijiokoa kubakwa na fundi Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora, Emmanuel Nley. Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kambi ya Tabora, Esther Gway amefariki wakati akijiokoa katika tukio la ubakaji lililotekelezwa na kijana aliyedaiwa kuwa ni fundi ujenzi. Read more about Askari wa JWTZ afariki akijiokoa kubakwa na fundi