Mwinyi Zahera atangaza jeuri ya usajili Yanga Benchi la ufundi la Yanga Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameweka wazi kuwa anahitaji sahihi za wachezaji kadhaa kutoka klabu ya Kariobangi Sharks ili kuimarisha nafasi mbalimbali katika kikosi chake hususani eneo la ulinzi. Read more about Mwinyi Zahera atangaza jeuri ya usajili Yanga