Roma azungumzia kuvunjika kwa 'Rostam' Rostam Mkali wa Hip Hop nchini, Ibrahim Mussa 'Roma' amefunguka juu ya tetesi za kuvunjika kwa kundi la Rostam linaloundwa na yeye mwenyewe pamoja na msanii Stamina. Read more about Roma azungumzia kuvunjika kwa 'Rostam'