Mwenyekiti Bodi ya Ligi atema cheche kwa makocha Wachezaji wa Yanga pamoja na benchi la ufundi Bodi ya ligi Tanzania imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya makocha na manahodha wa vilabu, kutozingatia kanuni zilizowekwa na kuendelea kuzungumza vibaya juu ya masuala ambayo ni ya kiutendaji. Read more about Mwenyekiti Bodi ya Ligi atema cheche kwa makocha