Niyonzima kucheza dhidi ya Simba kesho? Haruna Niyonzima baada ya kuwasili nchini Kiungo pendwa nchini Tanzania, Haruna Niyonzima amewasili nchini Januari 2 tayari kuanza majukumu ya kuitumikia klabu ya Yanga baada ya kumalizana wiki iliyopita. Read more about Niyonzima kucheza dhidi ya Simba kesho?