Man United Vs Tottenham, ombi la Mwana FA kwa Jose
Katika mwendelezo wa Ligi kuu ya England leo Jumatano unapigwa mchezo ambao utakuwa na mambo kadhaa ya kufuatilia ukiacha dakika 90 za mchezo, ambapo Kocha wa Tottenham Jose Mourinho anarejea Old Traffod kwa mara ya kwanza tangu afukuzwe.