Liverpool hawakamatiki, waweka rekodi mbalimbali Kocha Jurgen Klopp Mabingwa wa Ulaya klabu ya Liverpool wameendelea kuonesha njaa ya kutaka ubingwa wa Ligi kuu ya England ambao wameukosa kwa takribani miaka 30 sasa. Read more about Liverpool hawakamatiki, waweka rekodi mbalimbali