Viongozi wa Dini watajwa kufanya ushirikina Ushirikina Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jenerali, Nicodemas Mwangela, amesema katika Mkoa wake, walimkamata kiongozi wa dini ambaye alikuwa akihusika na imani za kishirikina ambapo kwa kujihusisha ramli chonganishi. Read more about Viongozi wa Dini watajwa kufanya ushirikina