Mtoto amuua Baba yake mzazi kwa kumkata
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamsaka Jailos Haule, kwa tuhuma za mauaji baada ya kumpiga na kitu chenye ncha kali Baba yake mzazi, Gerodi Haule (72), mkazi wa Mawengi wilayani Ludewa mkoani humo, hali iliyopelekea kusababisha kifo chake.


