Serikali yadhamiria kumrudisha Nondo mahakamani
Serikali imeweka kusudio la kukata rufaa ya kesi ya Jamhuri, dhidi ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi wa vyuo vikuu, Abdul Nondo, ambapo kwa sasa kesi hiyo itapelekwa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.