Bodaboda 100 wakamatwa sababu mbili zatajwa

Bodaboda

Zaidi ya Pikipiki 100 zimekamatwa katika operesheni inayofahamika kwa jina la 'hatutaki ajali', iliyoendeshwa na Jeshi la Polisi usalama barabarani, Mkoa wa kipolisi Rufiji Wilaya ya Mkuranga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS