Rekodi 6 za Liverpool 'Unstoppable'

Wachezaji wa Liverpool

Klabu ya soka ya Liverpool imeendelea kuweka rekodi mbalimbali msimu huu wa Ligi kuu ya England, wakiwa hawajapoteza mchezo hata mmoja katika mechi 18, ambapo wametoa sare moja tu na kushinda mechi 17.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS