'Kuna wakati Mamangu alinisahau' - Country Boy

Rapa Country Boy

Rapa Country Boy amesema moja kati ya changamoto ambazo amezipitia wakati anarekodi album yake ya Yule Boy, ni Mama yake mzazi kusumbuliwa na maradhi ya kupooza mwili na kupoteza kumbukumbu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS