33 wakamatwa kwa wizi wa Mafuta Kiwandani
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linawashikiliwa watu 33 kwa tuhuma za wizi wa Mafuta, yanayotumika kuendeshea mitambo katika Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa na mabomba yanayotumika kumwagilia mashamba ya Miwa kiwandani hapo.