Nandy afunguka "issue" ya kuokoka Picha ya msanii Nandy Msanii wa muziki anayefanya vizuri nchini Nandy, amenyoosha maelezo kuhusu issue ya kuokoka, baada ya kuonekana akifanya maombi katika Kanisa la Mchungaji Mwamposa, kwenye mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya wa 2020. Read more about Nandy afunguka "issue" ya kuokoka