Simba wagoma kuizungumzia Yanga, Zanzibar Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa kwa sasa hawako tayari kuzungumzia juu ya uwezekano wa kukutana na Yanga katika fainali kabla ya mchezo wa nusu fainali. Read more about Simba wagoma kuizungumzia Yanga, Zanzibar