Sprite Bball Kings 2019 yatoa 8 Klabu Bingwa
Wachezaji 8 walioshiriki michuano ya Sprite Bball Kings 2019, ni miongoni mwa wachezaji 15 wa kikosi cha JKT kinacho shiriki kufuzu michuano ya Klabu Bingwa ya Kikapu Afrika iliyo chini ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu duniani FIBA.