Kocha wa Yanga aamsha homa ya watani wa jadi Simba na Yanga Kocha Msaidizi wa Yanga, Said Maulid 'SMG' amesema kuwa hana wasiwasi na mechi dhidi ya watani wao Simba kwakuwa anao uzoefu katika aina ya mechi hizo. Read more about Kocha wa Yanga aamsha homa ya watani wa jadi