NIDA waja kivingine, vitambulisho 9000 kwa siku Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema kuwa kwa sasa imepata mashine mpya na za kisasa zenye uwezo wa kutoa vitambulisho 9000 kwa siku. Read more about NIDA waja kivingine, vitambulisho 9000 kwa siku