Walioambukizwa Corona Zanzibar hawajasafiri

Waziri wa Afya Zanzibar, Hamad Rashid Mohammed.

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohammed, amesema kuwa wagonjwa wapya watano walioambukizwa Virusi vya Corona visiwani humo hawana historia ya kusafiri kwenda nje ya nchi siku za hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS