"Nataka Peter Msechu awe kama Vanessa" - Baba Levo
Upande wa kulia ni Baba Levo, kushoto ni Peter Msechu
Diwani wa Mwanga Kaskazini Kigoma Ujiji na msanii wa BongoFleva Baba Levo, amesema huwa anamshambulia kwa maneno Peter Msechu kwa sababu anataka apungue hadi awe na mwili kama wa Vanessa Mdee.