CUF wajipanga kuanika ukweli kuhusu Maalim Seif
Mkurugenzi wa Itifaki na Mafunzo wa CUF Taifa, Masoud Mhina amesema kuwa atahakikisha kipindi chote cha kampeni anakaa Zanzibar ili kuuanika ukweli wa Maalim Seif Sharif Hamad, kuwa hafanyi siasa za ukweli bali anafanya siasa za kudanganya watu kwa maslahi yake binafsi.

