Madee agoma kuilaumu Yanga, atoa sababu zake
Msanii wa BongoFleva Madee Seneda, ameitetea timu yake ya Yanga baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa KMC, kwenye mchezo wa mechi ya kirafiki uliochezwa siku ya jana Juni 8, 2020, kwa kusema wao wame-focus zaidi kwenye ligi kuu.
