Naj aeleza Barakah alivyojitafuta kwa miaka miwili
Msanii Barakah The Prince na Najdattani
Mrembo Najdattani amemkingia kifua mpenzi wake ambaye ni msanii Barakah The Prince, kwa kusema sasa hivi amejitafuta na amebadilika kwa kutojibu watu vibaya katika mtandao wa Instagram.