Ummy atema cheche baada ya hotuba ya Rais Magufuli
Kufuatia hotuba ya Rais Magufuli jana Mei 3, 2020, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi na Meneja wa Maabara ya Taifa ya Jamii.