Alikiba atimiza ahadi yake Msanii wa BongoFleva Alikiba Staa wa muziki ndani na nje ya Tanzania Alikiba, ametimiza ahadi yake aliyowaahidi mashabiki wake ya kwamba, ataachia kazi mpya mara baada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuisha. Read more about Alikiba atimiza ahadi yake