Simba na Yanga zaungana kuisaidia jamii
Mashabiki wa vilabu vikongwe hapa nchini Simba na Yanga, kutoka eneo la Kibirizi mkoani Kigoma ambao kwa miaka 10 mfululizo wamekuwa wakishindana katika kujitolea kuchangia damu salama, sasa wameanza kuhamasisha jamii.