Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Geita afariki dunia

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoa wa Geita,  Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 Saa 5:00 Asubuhi katika Hospitali ya Rufaa Bugando baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS