Lipumba awajia juu ACT Wazalendo
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, amekitaka chama cha ACT wazalendo kurejesha ofisi za majengo ya CUF walizozipora na kuzibadilisha rangi na kuzifanya za kuwa ACT kwani kufanya hivyo ni kinyume cha sheria ya vyama vya siasa.