Mwili wa kichanga waokotwa mtoni

Mtoto

Wakazi wa Mtaa wa Buyekera katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wamekumbwa na taharuki baada ya kuona mwili wa kichanga ukielea katika mto Kanoni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS