Jux aeleza yalipoishia mahusiano yake na Wolper

Msanii wa RnB Juma Jux na staa wa filamu Jaqcueline Wolper

Kumekuwa na stori ambazo zinaeleza kwamba mkali wa RnB Bongo Jux, aliwahi kuwa na mahusiano na msanii wa filamu Jacqueline Wolper kipindi cha nyuma, japo watu wengi walikuwa hawafahamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS