Bajeti 2020/21, umasikini watajwa kupungua
Kiwango cha umaskini kimeelezwa kupungua katika maeneo yote (Mijini na Vijijini), ambapo Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango amesema, umaskini umepungua Mijini kutoka 21.7% hadi 15.8% na maeneo ya vijijini umepungua kutoka 33.3% hadi 31.3%".