Lipumba amsimamisha kazi kigogo, Zanzibar

Prof. Ibrahim Lipumba

Mwenyekiti  wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba, kwa kutumia mamlaka ya kikatiba ya chama hicho, amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Faki Suleiman Khatib.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS