Kauli ya Katambi kuhusu kuoa, awataja 'Ex' zake Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi amesema kuwa lazima atatekeleza agizo alilopewa na Rais Magufuli haraka iwezekanavyo, lakini hawezi kurudiana na 'Ex' zake alioachana nao. Read more about Kauli ya Katambi kuhusu kuoa, awataja 'Ex' zake