Meneja aweka wazi sababu ya Mo Ibrahim kugoma Mo Ibrahim na wachezaji wengine wa Namungo FC Meneja wa wachezaji Mohammed Ibrahim na Paul Bukaba ajulikanae kama Jamal Kasongo ametaja sababu za nyota hao kuchelewa kujiunga na timu ya Namungo ni kutolipwa mishahara yao tangu mwezi Februari. Read more about Meneja aweka wazi sababu ya Mo Ibrahim kugoma