Rekodi ya Man City yawa ngumu kwa Liverpool.

Mlinzi wa Liverpool Dejan Lovren (Kushoto), akijarimu kuamua ugomvi kati ya Joe Gomez (Kulia) na Raheem Sterling (Kati kati) katika moja ya mechi zilizowakutanisha.

Klabu ya Arsenal imefanikiwa kuizuia Liverpool kuifikia rekodi iliyowekwa misimu miwili iliyopita na Manchester City ya kufikisha alama 100 katika ligi kuu ya England baada ya kuipa kipigo cha bao 2-1.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS