Michapo ya VPL raundi ya 35,Yanga yaishusha Azam.

Kiungo wa Yanga Feisal Salum(kushoto katika picha), akipiga shuti mbele ya mshambuliaji wa Azam FC (Kulia katika picha), Idd Kipagwile.

Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara raundi ya 35 ilieendelea jana kwa mitanange sita kupigwa katika mikoa tofauti hapa nchini.

 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS