Mwanasaikolojia aeleza athari za kihisia, awataja
Mwanasaikolojia Daniel Marandu amepiga stori kwenye Show ya Dadaz ya East Africa TV, na kueleza athari za mtu mwenye kutegemea hisia ambayo ni mawazo, changamoto, kwenye mahusiano yoyote na atakuwa mgumu kuwa karibu na watu wengine.