Baada ya PSG na Arsenal,Unai sasa ni Villarreal.

Kocha wa zamani wa klabu za Sevilla,PSG na Arsenal (Pichani) akiwa katika majukumu yake.

Klabu ya soka ya Villarreal ,imethibitisha kukamilisha usajili wa aliyekua kocha wa klabu ya Arsenal, Unai Emery ambaye amesaini mkataba wa miaka mitatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS