Israel wafanya Oparesheni ya Kijeshi Palestina
Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, wanajeshi wa Israel wamevamia katika maeneo tofauti ya mji wa Jenin katika Ukingo wa Magharibi alfajiri ya leo Jumatatu, katika maeneo ya magharibi mwa Jenin.