Mamia wakusanyika kumuombea Papa Francis
Mamia ya watu nchini Argentina wamehudhuria misa maalum kwa ajili ya kumuombea kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, ambaye amelazwa hospitali akiwa katika hali mbaya huku taarifa zikieleza kuwa hali yake imeanza kuimarika kidogo