Israel kuanza mazungumzo upya na umoja wa Ulaya Waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon Saar amesema hataki uhusiano wa nchi yake na Ulaya ushikiliwe mateka kutokana na mitazamo ya watu kuhusu mzozo kati ya Israel na Hamas. Read more about Israel kuanza mazungumzo upya na umoja wa Ulaya