Fofana arejea uwanjani baada ya miezi miwili
Mlinzi wa Chelsea Wesley Fofana amerejea katika kikosi hiko baada ya kukaa nje ya uwanja takribani miezi miwili akiuguza jeraha la paja alilolipata Disemba 2024 katika ushindi wa 3-0 walioupata Chelsea dhidi ya Aston Villa