Hali ya Papa Francis yaendelea kuimarika
Taarifa ya Vatican imeeleza kuwa hali ya Papa Francis imeendelea kuimarika na changamoto ya kupumua ambayo ilitokana na homa ya mapafu haijajitokeza tena, huku akiwashukuru watu wote duniani ambao wamekuwa wakimuombea tangu aanze kuugua.