Promota athibitisha pambano la Dubois na Usyk lipo
Promota wa Daniel Dubois Frank Warren amesema pambano la marudiano kati ya Dubois dhidi ya Oleksandr Usyk bado lipo licha ya mwingereza huyo kushindwa kupanda ulingoni Jumamosi iliyopita baada ya kuugua ghafla