Chris Brown aweka rekodi hii Dunia
Chris Brown ameandika historia mpya katika tasnia ya muziki duniani baada ya ziara yake ya Breezy Bowl XX kutajwa rasmi kuwa tour iliyoingiza mapato makubwa zaidi kuwahi kufanywa na msanii mmoja Mmarekani mweusi wa kiume.

