Rais wa zamani wa Ufilipino akamatwa
Polisi wa Ufilipino wamemkamata rais wa zamani Rodrigo Duterte baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa hati inayomshutumu kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na "vita vyake dhidi ya dawa za kulevya".