Nicole afikishwa mahakamani, tuhuma za udanganyifu
Mwigizaji Joyce Mbaga maarufu kwa jina la Nicolejoyberry
Mwigizaji Joyce Mbaga maarufu kwa jina la Nicolejoyberry leo Machi 10, 2025 amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam kwa ajili ya kujibu mashtaka ya tuhuma zinazomkabili.